Samuel Mqhayi

Samuel Edward Krune Mqhayi (1 Desemba 1875 - 29 Julai 1945) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika kwa lugha ya Kixhosa. Alifanya kazi kama mwalimu na mhakiki na kutolea maandishi mbalimbali pamoja na mashairi na riwaya.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search